| Afisa Huduma wa Shindano la Tusua Mapene na Vodacom Tanzania, Paulina Biseko (kulia), Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na mabalozi wa shindano la Tusua Mapene na Vodacom Tanzania, Judith Laizer (kushoto) na Golden Mangula mara baada ya kumtangaza mshindi wa shindano hilo, Celestina Kilenezi, askari Magereza wa Gereza la Musoma ambaye amejishindia zaidi ya shilingi milioni 128/- za shindano hilo. Ili kushiriki shindano hili tuma neno Voda kwenda 15544. |
No comments:
Post a Comment