Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Sunday, 8 March 2020

VODACOM TANZANIA YATOA HAMASA KWA VIJANA KUIJUA TEKNOLOJIA YA HABARI KUPITIA MRADI WA CODE LIKE A GIRL

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumza jijini Dar Es Salaam na vijana wakati wa kufunga mafunzo ya ICT kupitia mradi maalum wa Code Like A Girl unaowezesha vijana kujua teknolojia ya habari na kuwahimiza kutumia vyema ujuzi huo ili kumudu ushindani uliopo kwenye soko la ajira.

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akikabidhi zawadi kwa vijana wahitimu wa mafunzo ya Teknolojia ya Habari kupitia mpango wa Code Like A Girl, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Vodacom Tanzania PLC, Vivianne Penessis.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu.
Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi.

Mkuu wa Kitengo kinachoangalia ufanisi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Zaitun Ally akipozi na wahitimu.

No comments:

Post a Comment