Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 11 March 2020

DSTV INAKULETEA MECHI YA LIVERPOOL NA ATLETICO MADRID (UEFA) LEO USIKU LIVE KUPITIA SS5

Liverpool watakua wenyeji wa Atletico Madrid leo ndani ya michuano hii ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA).

Kama kawaida @dstvkupitia ulimwengu wa soka Supersport wanakupa kutazama mechi hii Live kupitia SS5 kwa kifurushi cha Compact Plus TZS 84,000.

Lakini kupitia ofa ya Jiongezee Tukuongezee! Mteja wa kifurushi cha Family TZS 29,000, jiongeze sasa na kulipia kifurushi cha Compact TZS 44,000 na DStv itakupandisha mpaka kifurushi cha Compact Plus na ushuhudie mechi hii na mechi zote za UEFA kwa mwezi mzima bila malipo ya ziada.

Vigezo Na Masharti Kuzingatiwa

#SokaMwaaMwii

#JiongezeTukuongeze

No comments:

Post a Comment