Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Wednesday, 12 February 2020

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAENEZA HUDUMA YA KUJISOMEA KIDIJITALI SHULE YA MSINGI DIAMOND JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa mradi wa Instant Schools ulio chini ya Vodacom Tanzania Foundation, Christine Lucas akiongea na wana kamati na wazazi wa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya msingi Diamond jijini Dar es Salaam, kuhusiana na Program ya Soma Kidijitali ambapo mwanafunzi anapata masomo mbalimbali kupitia simu ya kiganjani. Elimu hiyo ilitolewa kwa wazazi wakati wa kikao kilichofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.



No comments:

Post a Comment