| Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing Spandet (kushoto) akizungumza na uongozi wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Ally Laay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia), Mkurugeni wa Hazina na Mitaji ya Masoko, Alex Ngusaru (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Tully Esther Mwambapa (kulia), uliofika ofisini kwake kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu Benki hiyo, ambapo Serikali ya Denmark kupitia Shirika lake la uwekezaji la DANIDA ni wanahisa wa Benki ya CRDB. |
No comments:
Post a Comment