| Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na Balozi wa Uingereza, Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. |
No comments:
Post a Comment