Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 24 June 2019

PROF. PALAMAGAMBA KABUDI ZIARANI NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akiwasili katika Ubalozi wa Tanzania Nchini China na kupokelewa na Balozi wa Tanzania Nchini China, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki tarehe June 23, 2019.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika ubalozi wa Tanzania Nchini China tarehe June 23, 2019. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika ubalozi wa Tanzania Nchini China. Mbele yake anayeshuhudia ni Balozi wa Tanzania Nchini China, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki tarihe June 23, 2019.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika kikao cha pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China tarehe June 23,2019.

No comments:

Post a Comment