| Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati alipotembelea tawi la Benki ya Biashara ya DCB jijini Dodoma. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa na Meneja wa DCB Dodoma, Joseph Njile. |
No comments:
Post a Comment