Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Theobald Sabi (kulia), wakati Mkurugenzi huyo akimtembelea ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe. Mazungumzo yao yalijikita katika kuangalia namna mbalimbali za kudumisha ushirikiano wa pande zote mbili.
|
No comments:
Post a Comment