SGR 2019 MWAKA WA KIHISTORIA TANZANIA. MADEREVA WAANDALIWA KUJIFUNZA UENDESHAJI WA TRENI YA UMEME
Tanzania inatarajiwa kuandika historia mwaka huu wa 2019 kwa kuzindua treni yake ya kwanza ya umeme ambayo itafanya safari zake kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Morogoro, ambapo hadi sasa ujenzi wa reli awamu umefikia asilimia zaidi ya 40.
No comments:
Post a Comment