Foreign Exchange Rates

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 16 January 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASITISHA ZOEZI LA KUONDOA VIJIJI NA VITONGOJI VILIVYOPO NDANI YA MAENEO YA HIFADHI. JANUARI 15, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam, Januari 15, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika maeneo ya Hifadhi. Ikulu Jijini Dar es salaam, Januari 15, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika mara baada ya kumaliza mazungumzo na viongozi hao kuhusu kusitisha zoezi la kuwaondoa Wananchi wanaoishi katika Vijiji na Vitongoji vilivyopo katika Maeneo ya Hifadhi za Taifa. Ikulu Jijini Dar es salaam, Januari 15, 2019.
Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment