Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Tuesday, 16 October 2018

TIMU YA WAENDESHA BAISKELI YA VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI MASHINDANO YA ROTARY DAR MARATHON


Mwendesha baiskeli wa timu ya wanawake wa Vodacom Tanzania PLC, Glory Mtui akishirikiki katika mbio za kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay jijini Dar es Salaam, ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.
Timu ya waendesha baiskeli ya Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay jijini Dar es Salaam, ambapo sehemu ya fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya wagonjwa katika Hospitali ya CCBRT.
Timu ya Wanawake waendesha baiskeli wa Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilomita 21.1 za Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Timu ya waendesha baiskeli ya Vodacom Tanzania PLC, wakiwa kwenye mashindano ya mbio za Kilomita 21.1 ya Rotary Dar Marathon zilizoyofanyika katika viwanja vya Green Oysterbay jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment