Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 22 October 2018

BENKI YA NBC NA TRA WATOA ELIMU YA KODI KWA WAFANYABIASHARA WA MOSHI NA ARUSHA

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kushoto), akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyolenga kujadili umuhimu wa suala la ulipaji kodi kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla. Semina hiyo ilifanyika mjini Moshi hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kushoto), akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyolenga kujadili umuhimu wa suala la ulipaji kodi kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla. Semina hiyo ilifanyika mjini Arusha hivi karibuni.
Ofisa Elimu Mkuu wa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rose Mahendeka (kushoto), akitoa mada kuhusu kodi kwa wafanyabiashara wa mji wa Arusha katika semina iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa kushirikiana na mamlaka hiyo mjini humo hivi karibuni ililenga kujadili umuhimu wa suala la ulipaji kodi kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Meneja wa NBC Kanda ya Kaskazini, Salma Yatera (kushoto), akizungumza na wafanyabiashara na wateja wa benki hiyo waliohudhuria semina kuhusu masuala ya kodi iliyoandaliwa na NBC kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mjini Moshi, Kilimanjaro hivi karibuni.
Ofisa Elimu Mkuu wa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rose Mahendeka (kushoto), akitoa mada kuhusu kodi kwa wafanyabiashara wa mjini Moshi katika semina iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa kushirikiana na mamlaka hiyo mjini humo ililenga kujadili umuhimu wa suala la ulipaji kodi kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Baasdhi ya washikiri wa semina hiyo mjini Moshi, Kilimanjaro. 
Maofisa wa NBC na wa TRA wakipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa semina waliyoiandaa kwa wafanyabiashara na wateja wao mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment