Joyce Mdachi, kutoka shirika la GNRC akifundisha umuhimu wa maadili na amani kwa baadhi ya watendaji kata, maafisa kutoka idara ya Mahakama na Polisi kwenye halmashauri ya mji Kasulu, mkoai Kigoma. |
- VYOMBO VYA DOLA NA MRADI WA HAKI YETU WAJADILI JINSI YA KUWALINDA WATU WENYE UALBINO
Pia jamii kukumbushwa kuhusiana na maadili mema, sambamba na kuhakikisha watendaji hao wanazingatia maadili yao ya kazi katika kuwahudumia wananchi.
Maazimio hayo yamefikiwa baada ya watendaji hao kupatiwa elimu kuhusu ualbino, maadili na amani, iliyotolewa na mashirika ya CEFA Tanzania, GNRC Tanzania na Under The Same Sun, ambayo kwa pamoja yanatekeleza mradi wa Haki Yetu.
No comments:
Post a Comment