Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 6 September 2018

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA - BUNDA - KISORYA - NANSIO KM 121 SEHEMU YA BULAMBA - KISORYA KM 51 PIA AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE MKOANI MWANZA. SEPTEMBA 4, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika mkasi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisorya kabla ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment