Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 10 July 2018

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KUIPOKEA NDEGE MPYA YA SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL AINA YA BOEING 787-8 DREAMLINER KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM. JULAI 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali. Julai 8, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapongeza Marubani waliokuja na ndege mpya na ya kisasa ya Boeing 787-8 Dreamliner mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza ndani ya ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwapongeza Viongozi na Wananchi mbalimbali waliondani ya ndege mpya na ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018. 
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la ATCL ambao wamewasili na ndege hiyo mpya na ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018. 
Ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018.
Ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikipewa Heshma ya kumwagiwa maji (water salute ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya kuipokea rasmi ndege mpya ya kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Julai 8, 2018.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment