TAZAMA RAIS KAGAME ALIVYOTUA TANZANIA, 14 JAN. 2018
Hivi ndivyo Rais wa Rwanda Paul Kagame alivyowasili katika uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam tayari kwa ziara yake ya siku moja nchini Tanzania. Rais Kagame amepokelewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli na kisha kuelekea Ikulu kwaajili ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment