Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa pili wa India - Afrika uliofanyika katika ofisi za ubalozi wa India nchini Jijini Dar es Salaa tarehe 18 Januari 2017.
Mkutano huo wa siku mbili unatarajiwa kumalizika tarehe 19 Januari 2018 ambapo umewakutanisha wajumbe kutoka serikali ya India, wajumbe wa nchi wanachama wa Afrika Mashariki (EAC) na wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) kwa lengo la kujadili masuala ya ushirikiano pamoja na kubuni maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa India na wa jumuiya hizo.
|
No comments:
Post a Comment