| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kwa upande wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam, Januari 4, 2018. |
No comments:
Post a Comment