Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 14 December 2017

RAIS WA MSUMBIJI MHE. FILIPE NYUSI AWASILI MKOANI DODOMA TANZANIA NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI DESEMBA 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Mhe. Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mini Dodoma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Mhe. Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mini Dodoma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi wakati vikundi vya ngoma vilipokuwa vikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi katika Ikulu ya Dodoma kabla ya kuanza mazungumzo yao.

IKULU BLOG

No comments:

Post a Comment