Foreign Exchange Rates

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Tuesday, 19 December 2017

DIAMOND TRUST BENKI YAIBUKA MSHINDI LIGI YA MABENKI

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto), akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya soka ya Diamond Trust Benki (DTB), David Kikambako baada ya timu hiyo kuibuka kidedea kwakuichakaza timu ya benki ya Exim kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali ya ligi ya mabenki iliyopewa jina la brazuka kibenki. Wa katikati ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akishangilia pamoja na wachezaji wa bench hiyo. Kushoto kwa Waziri ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya. 

No comments:

Post a Comment