| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia Septemba 20, 2017 hadi Septemba 25, 2017. |
No comments:
Post a Comment