Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan
Mwinyi (kushoto) akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas
(katikati) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwaajili ya
Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari
ilifanyika Jijini Dar es Salam juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa wateja wadogo na
wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela.
Rais
Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na baadhi ya wateja wa
Benki ya NMB baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya
Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakijumuika katika
tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya wateja wa benki hiyo walio kwenye mfungo
Mtukufu wa Ramadhani jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa na viongozi mbalimbali waalikwa
katika hafla hiyo.
Michuzi
No comments:
Post a Comment