Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika viwanja hivyo vya kiwanda cha Dangote kabla kuzindua magari 580 ya kiwanda hicho yatakayosafirisha saruji nchini. |
Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote akimuonesha Rais Dkt. Magufuli sehemu ya Kiwanda hicho pamoja na vifaa vyake mkoani Mtwara. |
Rais Dkt. Magufuli akizungumza jambo na mmiliki huyo wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara kilichopo mkoani Mtwara. |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo hicho cha kupooza umeme. |
No comments:
Post a Comment