Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Grooveback Advert_210725

Grooveback Advert_210725

Thursday, 10 November 2016

BAYPORT YAKABIDHI MADARASA MATATU YENYE THAMANI YA SHILINGI 200M/- KWA KITUO CHA KCVC

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh AsumtaMshama, akishuhudia uzinduzi wa moja ya madarasa ya kituo cha watoto yatima cha KCVC uliofanywa na mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa na mwenyekitiwabodiya Bayport Tanzania Dkt. Ken Kwaku hafla iliyofanyika kijiji cha Simbani wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani.
  
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC.

Mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa.

Viongozi wa Bayport Tanzania wakiwa katika picha ya pamojana Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh Asumpta Mshama, Mama Anna Mkapa, mtoto Esther Furaha pamoja na wasimamizi wa kituo cha Kibaha Children’s village centre.

No comments:

Post a Comment