Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Saturday, 24 October 2015
Friday, 23 October 2015
Saturday, 17 October 2015
RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) MINDU, UPANGA, DAR ES SALAAM
Picha za matukio mbalimbali za ufunguzi rasmi wa jengo la nyumba za makazi za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Mindu, Upanga, Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la ufunguzi wa jengo hilo tarehe 7 Oktoba 2015.
Jengo la nyumba za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam zilizojengwa na NHC na kuuzwa kwa wamiliki linavyoonekana. |
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC na wageni waalikwa waliokuwapo katika shughuli hiyo. |
Mwanasheria wa Yanga, Alex Mgongolwa akiwa ameshikilia hati yake pacha ya umiliki wa sehemu ya nyumba ya makazi Mindu aliyokabidhiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba katika jengo hilo kabla ya kuzindua. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga Dar es Salaam wakati akienda kufanya ufunguzi wa jengo. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa watoto wa wamiliki wa nyumba hizo za makazi za NHC Mindu, Upanga. |
EPZA / TIB DEVELOPMENT BANK JOINT SEMINAR ON RE-DEVELOPMENT OF THE INDUSTRIAL SECTOR THROUGH EPZ AND SEZ
DAR ES SALAAM, Monday October 12, 2015 - PROMINENT leaders of financial institutions in the country met in Dar es Salaam recently to deliberate on the best strategies through which they can spur the country's industrialisation drive.
EXPORT Processing Zones Authority (EPZA) and TIB Development Bank co-hosted the first ever seminar on the role of financial institutions in the national industrialisation, with the key focus being on resource mobilisation for Bagamoyo Special Economic Zone and Kurasini Logistic Centre projects.
EPZA Director General Col (rtd) Joseph Simbakalia, addressing the seminar participants, described Bagamoyo SEZ that will be built on 9,000 hectares as the authority's current flagship project which has reached a good developmental stage, noting that about 1.5 billion US dollars (over 3trn/-) is required in the next seven years to accomplish the Bagamoyo and Kurasini multibillion dollar projects.
EXPORT Processing Zones Authority (EPZA) and TIB Development Bank co-hosted the first ever seminar on the role of financial institutions in the national industrialisation, with the key focus being on resource mobilisation for Bagamoyo Special Economic Zone and Kurasini Logistic Centre projects.
EPZA Director General Col (rtd) Joseph Simbakalia, addressing the seminar participants, described Bagamoyo SEZ that will be built on 9,000 hectares as the authority's current flagship project which has reached a good developmental stage, noting that about 1.5 billion US dollars (over 3trn/-) is required in the next seven years to accomplish the Bagamoyo and Kurasini multibillion dollar projects.
BENKI YA NBC YATOA MSAADA KWA WALEMAVU WA NGOZI
KAMPUNI YA SIMU ZA TECNO YAZINDUA SIMU AINA YA PHANTOM 5 JIJINI DAR
Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. |
Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. |
Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. |
Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana (kulia), akitoa zawadi ya simu hiyo kwa baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali juu ya ufanis wa toleo hilo. |
Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana (kulia), akitoa zawadi ya simu hiyo kwa baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali juu ya ufanis wa toleo hilo. |
Wito huo umetolewa na Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu ya Phantom 5 uliofanyika Dar es Salaam hivi karibuni.
HENNESSY GLOBAL BRAND AMBASSADOR CELEBRATES 250TH YEAR ANNIVERSARY WITH TOP BUSINESS EXECUTIVES IN DAR
250 Collector Blend - Limited Edition Bottle created for Hennessy's 250th Anniversary. |
Cyrille Auriol, Hennessy Global Brand Ambassador at a private tasting with top executives - Hyatt Regency. |
LAUNCHING OF INVESTINGTZ.COM, AN ONLINE PLATFORM FOR MAKING IT EASIER TO INVEST IN TANZANIA AND LINK LOCAL ENTREPRENEURS WITH INTERNATIONAL INVESTORS.
Salum Awadh, Managing Partner, SSC Consulting.
|
It is an online platform where investors can register and submit their request of needs, and also for local suppliers to register to our online portal which can be publicly accessed by potential buyers.
It is a professional service offered to persons and companies wishing and exploring to invest in Tanzania. The service is aimed at providing advisory and facilitation services, hustle-free, with a guaranteed value for money services
We offer four (4) main services which are;
- Advisory services
- Company set-up
- Government relations
- Local partnerships and acquisitions
MWONEKANO WA SASA WA NYUMBA ZA NHC MWONGOZO BEACH HOUSING ESTATE
Picha za nyumba za miradi za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ya Mwongozo zilizopo Kigamboni jijini Dar es Salaam zilizopo katika hatua za mwisho kukamilika.
Baadhi ya nyumba za mradi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mwongozo Beach Housing Estate ambao ni mradi wenye nyumba 216, zinavyoonekana kwa sasa. |
Hizi ni nyumba za ghorofa za Mwongozo Beach Housing Estate ambao ni mradi wenye nyumba 216, zinavyoonekana kwa sasa. |
AfDB HIGH-LEVEL CONFERENCE TO CATALYZE AFRICA'S AGRICULTURAL TRANSFORMATION
On October 21-23, Ministers of Finance, Planning and Economy, as well as Ministers of Agriculture, Rural Development, Trade and Industry and Governors of Central Banks will join business leaders, academia, investment agencies, civil society and global experts in Dakar, Senegal, to discuss the future and transformation of agriculture in Africa.
The Feeding Africa Conference, organized by the African Development Bank (AfDB), will be opened by its President, Akinwumi Adesina, who will be joined by Senegalese President Macky Sall and the Prime Minister of the Democratic Republic of Congo, Augustus Mpata Ponyo. The opening panel discussion on the visions of prosperity in agriculture will include former President of Ghana John Kufuor and the CEO of Dangote Foundation, Zouera Youssoufou, amongst other high-profile leaders. (Watch short video)
The conference agenda will tackle the key challenges to Africa’s agricultural transformation, a priority area for the AfDB and essential to alleviating poverty and hunger on the continent as well as for spurring growth and creating jobs. The challenges that the conference will focus on include the modernization of the agricultural sector, access to credit in particular for women farmers, access to markets and building robust value chains, making farming attractive to youth, fostering gender equality, building regional trade and developing climate smart agriculture.
The Feeding Africa Conference, organized by the African Development Bank (AfDB), will be opened by its President, Akinwumi Adesina, who will be joined by Senegalese President Macky Sall and the Prime Minister of the Democratic Republic of Congo, Augustus Mpata Ponyo. The opening panel discussion on the visions of prosperity in agriculture will include former President of Ghana John Kufuor and the CEO of Dangote Foundation, Zouera Youssoufou, amongst other high-profile leaders. (Watch short video)
The conference agenda will tackle the key challenges to Africa’s agricultural transformation, a priority area for the AfDB and essential to alleviating poverty and hunger on the continent as well as for spurring growth and creating jobs. The challenges that the conference will focus on include the modernization of the agricultural sector, access to credit in particular for women farmers, access to markets and building robust value chains, making farming attractive to youth, fostering gender equality, building regional trade and developing climate smart agriculture.
RAPIDTRANSFER – THE FASTEST WAY TO SEND AND RECEIVE MONEY ACROSS AFRICA
At Ecobank, we believe the future is pan-African. That’s why we provide a convenient and reliable way to send funds both within your country and across the continent.
Rapidtransfer is safe and easy to use. The funds will reach your recipient instantly and in their local currency. There are no charges for the person you’re sending money to and they don’t even need to have an Ecobank Account.
Key features:
• Transfer money to over 30 African countries
• Receive funds in local currency
• Fast and convenient
• Reliable and safe
To use Rapidtransfer, just visit any Ecobank branch, call (255) 22 213 7447 or Toll Free 0800110021 or go to ecobank.com
Friday, 16 October 2015
FASTJET GRANTED AIR SERVICE LICENCE IN KENYA
12 October 2015 - fastjet, the pan-African low-cost airline, is pleased to announce that fastjet Kenya Ltd has been granted an Air Service Licence (ASL) by the Kenya Civil Aviation Authority (KCAA). The granting of the ASL clears the way for fastjet Kenya to commence the application process for an Air Operator Certificate (AOC) which, once received, will allow the airline to operate domestic flights within Kenya.
The AOC application process will involve an in depth review of fastjet Kenya’s planned safety management system, operational manuals and structures, its senior staff, fleet, maintenance facilities and technical capability. An early stage of the process includes agreeing a timetable for the application process with the KCAA.
THE NATIONAL BANK OF COMMERCE MANAGING DIRECTOR, EDWARD MARKS VISITS ARUSHA FOR BUSINESS ENGAGEMENTS
NBC Managing Director Edward Marks exchanging views with Col. (Retired) Anatoly Tarimo during a customer cocktail function hosted by NBC in Arusha. |
FASTJET, EMIRATES WAINGIA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA
Dar es Salaam Oktoba 13, 2015 - Katika hatua ya kuhakikisha kuwa wateja wake wanaunganishwa na usafiri wa kimataifa, kampuni ya ndege ya kiafrika yenye gharama nafuu fastjet Tanzania imesaini makubaliano ya ushirikiano na shirika kubwa la ndege la Kimataifa Emirates.
Kupitia makubaliano hayo ambayo yanaanza rasmi Oktoba 15, 2015, Emirates kwa upande mwingine watanufaika kutokana na abiria wake kuweza kufikia mtandao wa njia wa fastjet ambao unakua ndani katika eneo la Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Akitangaza kusainiwa nkwa makubaliano hayo, meneja mkuu wa fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati alisema kuwa abiria wa Emirates hivi sasa wataweza kukata tiketi za fastjet kutoka kwenye mitandao yote ya Emirates kwa kutumia mtandao wa kompyuta uliounganishwa baina ya mashirika hayo mawili.
MOHAMMED DEWJI TO ATTEND LARGEST NORDIC-AFRICAN BUSINESS SUMMIT
Mr. Mohammed Dewji, Group Chief Executive Officer, Mohammed Enterprises Tanzania (MeTL Group). |
Africa's future economy hosts the world's youngest and fastest growing urban population. Africa's economy must facilitate rapid growth and change in the coming years. This is why "Nordic competence linked to African opportunities" is the main theme at this year's Nordic-Africa Business Summit.The summit is being held for the fifth consecutive year. Due to its great success, the Norwegian-African Business Summit has now become the Nordic-African Business Summit.
EXCLUSIVE - HONOURED TANZANIANS - RANKING 2015 AFRICAN ECONOMIC LEADERS
This original study identifies all those who carry the economic growth and development of Africa, and embody the renewal of the continent.
5 Tanzanian laureates have been identified among the Top 100 of the ranking.
Read the Choiseul 100 Africa
We remain at your disposal should you require any further information.
Yours sincerely,
Guillemette Arsac
Responsable communication
Follow us on
| ||
16, rue du Pont Neuf, - 75001 Paris
+33(0)1 53 34 09 93
| ||
MNUSO WA BIRTHDAY YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR #UN70
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa jijini Dar.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) akimtambulisha mmoja wa wageni waalikwa kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo (kulia).
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini, Joyce Mends-Cole (kulia) akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (kushoto) wakati wa zoezi la kupokea wageni waalikwa kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania. Katikati ni Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues.
Wageni mbalimbali wakiendelea kuwasili na kupokelewa na wakuu wa Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Alvaro Rodriguez (kushoto) akiongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim mara tu alipowasili kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo (kulia) akifurahi jambo na mmoja wa wageni waalikwa. Katikati ni Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez.
Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy pamoja na Katibu wa Dkt. Mahadhi wakiwa kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akisherehesha mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.
Subscribe to:
Posts (Atom)