Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 23 September 2015

FASTJET YAONGEZA AJIRA KWA VIJANA TANZANIA

Shirika la ndege la fastjet laongeza ajira kwa vijana Tanzania kwa kuajiri wahudumu wa ndege 12 na kuwapatia mafunzo ya kazi.

Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza kazi. Wengine katika picha ni Meneja wa wahudumu wa ndege ya fastjet Eugene Dadet (mwenye vazi jeupe) na mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (kushoto).
Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (katikati), Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (kulia) na baadhi ya wahudumu wa ndege hiyo wakikata keki kwa pamoja siku ambayo wahudumu hao wa ndege walipohitimu mafunzo yao.
Meneja Mkuu wa shirika la ndege la fastjet, Jimmy Kibati, (watatu kushoto) kwenye picha ya pamoja na Mshauri Kibiashara wa fastjet Ian Petrie (kulia), Rubani Mkuu wa fastjet, Derrick Luembe (wapili kulia), mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (kushoto) na muhudumu wa ndege hiyo, Khadija Saleh Kasim (wapili kushoto).
Meneje Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto) akimkabidhi muhudumu wa ndege hiyo, Khadija Saleh Kasim (kulia) cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu wa ndege.
Meneje Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto) akimkabidhi muhudumu wa ndege hiyo Geofrey Brian (kulia) cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu wa ndege.
Baadhi ya wahudumu wa ndege ya fastjet waliohitimu mafunzo yao kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment