![]() |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni. |
![]() |
| Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge. |
![]() |
| Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni. |
![]() |
| Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge. |
![]() |
| Rais Kikwete akiingia bungeni. |
![]() |
| Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao. |
![]() |
| Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia. |
![]() |
| Waheshimiwa wabunge. |
![]() |
| Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge. |
![]() |
| Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge. |
![]() |
| Rais Kikwete akihutubia. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake. |
![]() |
| Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete. |
![]() |
| Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Sehemu ya wabunge. |
![]() |
| Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali. |
![]() |
| Sehemu ya Mabalozi. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wabunge wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete. |
![]() |
| Jaji Mkuu na ujumbe wake. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Wabunge. |
![]() |
| Sehemu ya maafisa waandamizi wa vikosi vya ulinzi na usalama na wageni waalikwa. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar Dkt. Shein, Makamu wa Rais Dkt Bilali, Naibu Spika Mhe Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu wakifuatilia hotuba. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Mmoja wa wabunge Mhe. Riziki Saidi Ruliga, akifuatilia hotuba kwa makini. |
![]() |
| Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar akitoka bungeni. |
![]() |
| Jaji Mkuu akitoka bungeni. |
![]() |
| Rais Kikwete akisindikizwa kutoka nje baada ya kuhutubia. |
![]() |
| Rais Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. |
![]() |
| Picha ya pamoja. |
![]() |
| Rais Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa. |
![]() |
| Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa. |
![]() |
| Picha ya pamoja na marais wastaafu na viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |

















































No comments:
Post a Comment