Banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo lililopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea.
Baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea wakipata hududuma mbalimbali katika banda la tigo.
Watoa huduma wa Kampuni ya simu tigo wakiendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi wanaoshiriki katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Watoa huduma wakiendelea kutoa huduma kwa washiri.
Mshiriki wa maonesho ya Sabasaba akiuliza bei ya simu kwa watoa huduma wa kampuni hiyo alipotembelea hilo katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Huduma ikeendelea kutolewa.
.........................................................................
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
No comments:
Post a Comment