| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Edward Marks (wa pili kushoto), akibadishana mawazo na Ofisa Fedha Mkuu wa Shirika la Mikopo ya Nyumba la Tanzania Mortgage Refinance (TMRC), Oswald Urassa (wa tatu kushoto) katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma ya mikopo ya nyumba iliyopewa jina ya ‘Hamia Kwako’ ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NBC, Musa Jallow, Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Rejareja cha benki hiyo, Isidory Msaki na Mkuu wa Rasilimali Watu wa benki hiyo, Flora Mollel Lupembe. |
No comments:
Post a Comment