Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 5 June 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtafiti na mwanasayansi Mtanzania wa mambo ya mawasiliano na mitandao katika Chuo Kikuu cha Aalto cha Helsinki Dkt Edward Mutafungwa alipotembelea chuoni hapo kujionea shughuli za chuo hicho maarufu nchini Finland.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Mari Kiviniemi, Waziri wa Masuala ya Nje wa Finland wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa heshima yake jijini Helsinki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Finland. Wa pili kushoto ni mwalimu wa Rais Kikwete alipokuwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa MarjaLiisa Swantz, ambaye ni Mfini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyabiashara wa Finland pamoja na washirika wao wa Tanzania baada ya mkutano wao jijini Helsinki, Finland.
Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo ya uzalishaji nishati toka kwa viongozi wa kampuni ya Watsila nje kidogo ya jiji la Helsinki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea kiwanda cha METSO cha kutengenezea vipuli vya mitambo ya gesi na mafuta katika jiji la Helsinki, Finland.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mchoro kutoka kwa Msanii wa Kimataifa wa Kitanzania aishiye Sweden Bw. Charles Njau alipokutana na Watanzania waishio Sweden alipokutana nao Alhamisi jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kipande ambaye mwaka jana alikuwa katika tiu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu. Chef Issa, ambaye pia anaedeesha hoteli Mtwara, hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa 16 wa Sweden katika kasri la Mfalme jijini Stockholm, Sweden.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa SIDA Bw. Torbjorn Petterson makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyakazi wa SIDA katika makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm.
Rais Kikwete akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa XVI wa Sweden katika kasri la Mfalme jijini Stockholm.
Rais Kikwete akilakiwa na Mfalme Carl Gustav wa XVI wa Sweden.

MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment