Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Monday, 11 May 2015

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua meno ya tembo yaliyokamatwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua ngozi za wanyamapori zilizokamatwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akila chakula cha mchana na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Selous iliyopo Likuyu wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment