Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 13 May 2015

TIGO YAZINDUA USAJIRI WA KUZALIWA KUPITIA SIMU ZA MKONONI KWA KANDA YA ZIWA

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy Mwalimu (kushoto) akionyesha moja kati ya simu 350 zilizotolewa na Kampuni ya Tigo kwa ajili ya mkakati wa usajili wa watoto waliozaliwa wenye umri chini ya miaka mitano kwa njia ya simu kwa kutumia mtandao wa Tigo, wakati wa uzinduzi uliofanyika Mkoani Mwanza jana. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA) Emmy Hudson na Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (aliyevaa miwani).

No comments:

Post a Comment