Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Friday, 8 May 2015

SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB YAFANYIKA ARUSHA

Mkurugezi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifungua semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mwanahisa akiuliza swali.
Wajumbe wa bodi.
Katibu wa Benki, John Rugambo akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Wanahisa.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina hiyo.
Wanahisa.
Wanahisa wakifuatilia semina hiyo.
Meneja Mwandamizi Huduma za Uwakala, Jessica Nyachiro akitoa mada kuhusu Fursa kupitia Uwakala wa Benki ya CRDB, wakati wa semina ya Wanahisa wa benki hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa (kushoto) akifuatilia semina hiyo.
Prof. Mohamed Warsame kutoka Kampuni ya Dhow Financials akitoa mada kuhusu Ukuzaji wa Mitaji kwa Kampuni iliyoorodheshwa Soko la Hisa.
Washiriki wa semina hiyo.

No comments:

Post a Comment