| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi wa nchini China, Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) na wengine, wakati alipofungua Maonesho ya Biashara ya China ‘Expo Central China 2015′, yaliyoanza leo Mei 18, 2015, Jimbo la Hubei, Jijini Wuhan nchini China. |
No comments:
Post a Comment