Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 13 May 2015

BENKI YA NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO WILAYANI HAI, KILIMANJARO

Meneja wa NMB Kanda ya Kasakazini, Vicky Bishubo, akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Antony Mtaka na mbunge wa jimbo la Hai, Mh Freeman Mbowe kwaajili ya waathirika wa mafuriko yaliyozikumba kata za Weruweru na Masama Rundugai Wilayani Hai. NMB ilikabidhi mchele, unga, maharage, magodoro, mabranketi na mifuko ya saruji vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 10.
Meneja wa NMB Kanda ya kasakazini, Vicky Bishubo, akimfunika kwa blanketi mmoja ya wakazi wa Kijiji cha Kawaya kwenye hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula na vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi Milioni 10. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Hai, Antony Mtaka na Meneja wa Tawi la NMB Hai, Medard Malisa.
Meneja wa NMB Kanda ya kasakazini, Vicky Bishubo, akikabidhi msaada wa blanketi kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Antony Mtaka pamoja na vifaa vya ujenzi na vyakula vyote vikiwa na gharama ya shilingi milioni 10, kwa ajili ya kusaidia wahanga wa mafuriko yaliyovikumba vijiji vya kata za Weruweru na Masama Rundugai Wilayani Hai, (katikati) ni meneja wa tawi la NMB Hai, Medard Malisa.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Antony Mtaka akipokea sehemu ya msaada wa vyakula ikiwemo unga pamoja na mafuta kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya kaskazini, Vicky Bishubo, vilivyogarimu miloni 10, kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko yaliyovikumba vijiji vya
kata za Weruweru na Masama Rundugai Wilayani Hai (kushoto) ni Mbunge wa Jimbo hilo Freeman Mbowe.
Meneja wa benki ya NMB Kanda ya kasakazini, Vicky Bishubo, akikabidhi msaada wa vyakula pamoja na vifaa vya ujenzi kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Antony Mtaka vyenye thamani ya shilingi milioni 10, kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko yaliyovikumba vijiji vya kata za Weruweru na Masama Rundugai Wilayani Hai, (katikati) ni Medard Malisa, Meneja wa tawi la NMB Wilaya ya Hai.

No comments:

Post a Comment