Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 22 April 2015

MIKATABA YA MABILIONI YA MASHILINGI KUPELEKEA MAWASILIANO VIJIJINI NA MASHULENI WASAINIWA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF), Eng. Peter Ulanga (katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL, Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF), Eng. Peter Ulanga (kulia) akitia sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini pamoja na CEO wa TTCL, Dr. Kamugisha Kazaura.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF), Eng. Peter Ulanga (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa baada ya kutia sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF), Eng. Peter Ulanga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na (kutoka kushoto) Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia, John Mngodo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa, (kutoka kulia) CEO wa TTCL, Dr. Kamugisha Kazaura, mwakilishi kutoka kampuni ya mtandao ya simu za mkononi Airtel, Ronald Mitti pamoja na wawakilishi wengine wa mitandao ya simu za mkononi pamoja na wafanyakazi wa Mfuko huo.

No comments:

Post a Comment