Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 9 December 2014

CRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA

Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's  Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred, mfano wa hundi na bahasha mara baada ya hotuba. Hundi hiyo ina thamani ya hundi ya sh. milioni 10 ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's wakati wa Mahafali ya 5 ya chuo hicho Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred (kulia), ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's wakati wa Mahafali ya 5 ya chuo hicho Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Wa pili (kushoto) ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Emmanuel Mbennah.

Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment