Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 31 October 2014

KADI YA USHABIKI YA BENKI YA POSTA YA MBEYA CITY YAZINDULIWA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Dkt. Norman Sigela (wa pili kulia) pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga (kulia) wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya (wa tatu kushoto). Wa pili kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa. Chini ni viongozi na wachezaji wa Mbeya City.


No comments:

Post a Comment