Wakati
bado tungali na kumbumbu kwa jinsi shoo ya mwisho Serengeti Fiesta ilivyofungwa
na bashasha za aina yake wiki iliyopita jijini Dar es Salaam, mwaka huu mambo
yalikuwa tofauti sana na pongezi ziende kwa waandaaji primetime promotions na
wafadhili wakuu wa tamasha hilo Serengeti Breweries kupitia kinywaji cha
Serengeti Premium Lager.
Mara
baada ya kuingia ndani, waliweza kushuhudia utaratibu mzuri uliowekwa kila eneo
ambapo mtu angeweza kwenda kununua kinywaji bila kusukumana na yoyote.
Unaponunua bia wahudumu wa Serengeti hawakuruhusu mtu aondoke na chupa bali
aliwekewa bia yake katika kikombe maalumu cha plastic. Wanyawji weni walifurahia
sana vinywaji vya kampuni ya bia ya Serengeti kama Tusker Lager na Lite,
Serengeti Premium Lager, Guinness, Kibo Gold, Smirnoff ice na kinywaji
kiliizunduliwa hivi karibuni kijulikanacho kama Jebel Coconut, Serengeti
Platinum and Serengeti Platinum ndogo.
Katika
umati wa watu wasiopungua 50,000 wengi walihofu kutokea na matuki ya uhalifu
kama wizi na ubakaji kujitokeza. Lakini mwaka huu ulinzi uliimarishwa sana, na pongezi
za pekee ziwaendee waandaaji na wafadhili wa tamasha hilo kwani waweza
kudhibiti matukio machache ya uhalifu na kuhakikisha kwamba mashabiki wa
tamasha hilo wanashereheka kwa amani. Kuanzia katika lango kuu la kuingia
tamashani kila mmoja aliweza kuona jinsi hali ilivyokuwa tofauti mwaka huu.
Walinzi walikuwa kila eneo na watu waliingia getini kwa utaratibu.
Mbali
ya kuvutia vijana wengi zaidi, shoo hiyo pia ilipokelewa vizuri na viongozi wa
serikali ambao nao walikuja kama mashabiki wengine tu kuwahamasisha wasanii
wetu. Mh Lazaro Nyalandu waziri wa maliasiri na utalii ni kati ya viongozi
maalumu walikuja kuzindia tamasha hilo. Jerry Silaa ambaye ni maya wa manisapaa
ya Ilala ni miongozi mwa viongozi hao wa serikali walihudhulia katika tamasha
hilo.
Mwaka
huu shoo ya mwisho ya serengeti fiesta ilikuwa bora kutokea nchini na
kutumbuizwa na wasanii kadhaa wa kimataifa kama T.I, davido, diamond Platnumz
na Alikiba ambao walipamba kurasa za magazeti mengi nchini baada ya shoo,
wasanni wengine waote kutoak nchini pia walifanya shoo nzuri.
Kadja,
Mo Music, Y-tony, Makomando, Recho, Vanessa, Barnaba, Linah, Shaa, TMK Wanaume Family, Tip Top Connection, Ommy Dimpoz, Ya Moto Band ni
baadhi ya wasanii walifanya vizuri katika jukwaa, kabla ya kundi la Micharazo likiongozwa
na Mr. Blue came na kuwasha moto na viabo vyake kama “Baadae” na Kimya. Stamina
naye hakubaki nyuma kwani walishangiliwa vilivyo na mashabiki wa mashabiki
baada ya kutoa shoo nzuri. Wasanii wengine ni pamoja na :-Mwana Fa, Weusi, Ney
wa Mitego na Young Killa. Killa alidhibisha ubora kwa mashabiki baada ya kupiga
kibao chake kipya kikali maarufu kama “Umebadilika” pamoja na Banana Zorro waliofanya
mashabiki wewa vichaa.
For more information:-
Please visit
SBL’s Face book/Twitter pages and YouTube for videos
ABOUT SERENGETI BREWERIES
LIMITED
Serengeti Breweries Limited engages in the
brewing, manufacturing, marketing and selling drinks made of malt, hops and
barley and sorghum in Tanzania.
Headquartered in Dar es Salaam, SBL brands
include:- Serengeti Premium Lager, Serengeti Platinum, Tusker Lager, Tusker
Lite, Kibo Gold, Uhuru Peak Lager, Pilsner Lager, Senator, The Kick and
Guinness®.
SBL is also the sole distributor of several
international renowned spirits including Smirnoff Vodka®, Johnnie Walker®,
Bailey’s Irish Cream ®, Richot®, Bond 7 Whiskey® and Gilbeys Gin®.
Serengeti
Breweries Limited is a subsidiary of East African Breweries Limited/ DIAGEO
PLC.
No comments:
Post a Comment