Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Foreign Exchange Rates
CRDB Bank Advert_070325
Selcom Pesa Advert_110225
Standard Chartered Advert_300125
Grooveback Advert_210725
Thursday, 25 September 2014
KAMPUNI YA RESOLUTION INSURANCE YAFUNGUA TAWI JIPYA KARIAKOO, JIJINI DAR
Mwenyekiti wa bodi ya Resolution Insurance, Richard Kasesela (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Resolution Insurance, Oscar Asir (kushoto) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyopo Lumumba Kariakoo, Mwenyekiti wa bodi ya kampuni hiyo, Richard Kasesela (kulia) na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
Mwenyekiti wa bodi ya Resolution Insurance, Richard Kasesela (katikati), Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha wakikata keki kuashiria uzinduzi wa tawi jipya la kampuni hiyo lilipo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Resolution Insurance wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment