Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 4 September 2014

BENKI YA NMB YAIDHAMINI AZAM FC KWA MIAKA MIWILI

BENKI ya NMB imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc, utaohusisha gharama za usafiri na baadhi ya mambo mengine ya uendeshaji wa timu. 

Uwanja wa Azam FC ukiwa na mabango ya NMB kama ishara ya makubaliano ya udhamini.

Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bw. Mark Weissing kulia akiingia uwanjani na Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Barnabas Waziri.

Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bw. Mark Weissing akiwa na Mwenyekiti wa Azam Bw. Said Mohammed pamoja na wachezaji wa Azam FC.

Hizi ndio jezi mpya za Azam FC zikiwa na nembo ya mdhamini NMB.

Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bw. Mark Weissing kulia na Mwenyekiti wa Azam Bw. Said Mohammed.

Mkataba tayari. Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bw. Mark Weissing kulia na Mwenyekiti wa Azam Bw. Said Mohammed baada ya kuweka saini.

Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment