Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 8 September 2014

BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA

Ndege ya Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote ikiwasili katika uwanja wa Mtwara.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akiwa na balozi wa Nigeria, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mtwara, Francis Kasoyaga (wa pili kulia) wakiwa uwanja wa Ndege wa Mtwara wakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote.

Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote akishuka katika Ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mtwara.

Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote akisalimiana na balozi wa Nigeria.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akisalimiana naMwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group of  Industries, Alhaji Aliko Dangote.

Kwa picha zaidi, bofya hapa.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment