Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Thursday, 21 August 2014

FLIGHT LINK WAENDELEA KUTANUA MBAWA, WALETA NDEGE NYINGINE

Ndege ya Kampuni ya Flightlink iliyowasili nchini hivi karibuni,ikiwa imeegeshwa katika eneo lake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere jijini Dar es salaam. Ndege hii aina ya Embraer 120 inauwezo wa kubeba abiria 30 na itakuwa ikifanya safari zake katika Mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Zanzibar, Arusha na Pemba.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment