Baada ya kufuturisha Zanzibar, NMB yafuturisha Dar es Salaam kwa wafanyakazi wa benki, wateja na wadau muhimu wa benki. Mgeni rasmi alikua Waziri wa Fedha na Uchumi, Mh. Saada Mkuya.
Wadau wengine waliohudhuria futari hiyo ni Mkurugenzi wa NMB, Mark Wiessing, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mh. Sophia Mjema na Kamanda wa Polisi Kanda ya Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova.
Mkurugenzi wa NMB Mark Wiessing (katikati) akiongea na wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa na NMB.
Wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa na NMB kwa wateja na wadau mbalimbali.
Wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa na NMB kwa wateja na wadau mbalimbali.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar CP Suleiman Kova (Kushoto) akiwa pamoja na wafanyakazi wa NMB katika futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja na wadau mbali mbali.
Wageni waalikwa katika futari iliyoandaliwa na NMB kwa wateja na wadau mbalimbali.
Mkurugenzi wa NMB Mark Wiessing (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Waziri wa Fedha na Uchumi Mh Saada Mkuya (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh Sophia Mjema (kushoto) pamoja na wageni walikwa katika futari iliyoandaliwa na NMB.
No comments:
Post a Comment