Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Saturday, 26 July 2014

CRDB YATOA MCHANGO WA MIL. 3 KUSAIDIA SHULE ILIYOPATA JANGA LA MOTO, WILAYANI MONDULI

Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Irkisongo wilayani Monduli Happness Nyange (kushoto) akipokea mchango wa shilingi millioni tatu kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa masuala ya kibenki wa CRDB, Dkt. Bennett Bankobeza ikiwa ni kwaajili ya kusaidia shule hiyo ambayo mabweni yake yaliteketea kwa moto hivi karibuni. Wanaoshuhudia pembeni ni Meneja wa CDRB tawi la TFA Arusha, Bi. Amulikiwa Massawe (wa tatu kulia) na madiwani wa halmashauri ya Monduli. Mwisho kulia ni mkurugenzi wa halmashauri hiyo ya Monduli Twalib Mbasha.

No comments:

Post a Comment