Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 2 September 2021

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATOA SEMINA YA UGONJWA WA CORONA NA CHANJO KWA WAFANYAKAZI WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la chanjo ya ugonjwa huo ambayo kampuni iliandaa kwa ajili ya wafanyakazi wake.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Flora Munuo akiuliza swali wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Edward Nyanza akiuliza swali wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya hiyo jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment