Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 3 August 2021

JINSI BOLT INAVYOBORESHA MAISHA KUPITIA USAFIRI WA MTANDAO


“Nilijiunga na Bolt miaka miwili iliyopita kwa sababu nilitaka kufanya kitu tofauti. Nilikuwa nikitumia Bolt sana kama abiria katika safari zangu za mjini. Nilipata ushawishi mkubwa kutoka kwa madereva kuhusu uhuru wa masaa yao ya kazi wakiwa dereva wanaotumia mfumo wa Bolt. Hivyo nikaamua kujiunga.

Ukitumia Bolt, lazima uone mafanikio. Ni nafuu kwa abiria na yenye faida kwa madereva. Leo nina uwezo wa kujikimu na kuchangia matumizi ya nyumbani. Najisikia mwenye furaha. Nashauri vijana wenzangu wajiunge Bolt ili waweze kujikimu na kujitegemea”. – Dereva wa Bolt, Maximillian George (25), Tegeta - Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment