| Balozi wa Vodacom Tanzania Foundation, Laurent Edward (kushoto) akitoa elimu ya programu ya Vodacom Instant Schools (Soma Kidijitali) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Puge, Nzega Tabora kupitia mpango huo utamuwezesha mtumiaji kupata masomo, kutafuta, na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote. |
No comments:
Post a Comment