Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 30 October 2019

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA BOEING 787-8 DREAMLINER JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine na wadau akikata utepe kuashiria kupokewa kwa ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakisiliza maelezo toka kwa Kepteni Dennis Mshami mmoja wa Marubani walioileta ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Seattle Marekani hadi katika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama alipoongoza wananchi katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wa Taasisi Mbalimbali za Umma na Binafsi alipoongoza wananchi katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kiti cha rubani  cha Boeing 787-8 Dreamliner alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kepteni saidi Hamadi mmoja wa Marubani walioleta ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner kuoka Seattle Marekani alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Oktoba 26, 2019
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

KENYA: SAFARICOM PAVES THE WAY FOR ITS NEW CEO

Peter Ndegwa, Safaricom's new boss, may be celebrating with a bottle of Senator, the affordable beer he introduced to the Kenyan market.
Kenya’s leading telco, Safaricom, announced Peter Ndegwa as its new CEO a day after a customer-focused rebrand.
Safaricom announced Ndegwa’s appointment on 24 October. The managing director of Diageo Continental Europe, he will take over in April 2020 as Safaricom’s third chief executive, following the late Bob Collymore, who served from 2010 to July 2019.

The announcement marks the end of a two-year search for a new chief executive. At the heart of the succession debate within the Safaricom board was the issue of nationality, as Safaricom’s two CEOs since inception have been foreigners who eventually took up Kenyan citizenship.

Running Kenya’s most profitable company will be a new challenge for Ndegwa, a Kenyan citizen who has spent the past 15 years in the alcoholic beverages industry.
  • He joined Diageo group subsidiary East African Breweries in 2004 after an 11-year career in accounting firm PwC and has been managing director of Diageo Continental Europe since July 2018. He previously served as CEO for Guinness Nigeria and Guinness Ghana.
  • Perhaps to show Ndegwa’s suitability and understanding of the local market, Safaricom chairman Nicholas Nganga pointed out in a profile sent to newsrooms that the Kenyan “is credited with the development of an affordable-beer strategy for EABL resulting in the production of new brands such as Senator beer. Senator beer became one of the most successful innovations by Diageo that has been featured in the Harvard Business Review.”
In February, then Safaricom CEO Bob Collymore told The Africa Report that his successor should be “someone who understands the financial sector a lot more, if we are to occupy the fintech space, and someone who is not going to be scared of going into other markets”.

PUMA ENERGY, SELCOM AND MASTERCARD PARTNER TO INCENTIVISE DIGITAL PAYMENTS

Selcom Head of Marketing and Corporate Communications, Baguma Ambari (left) demonstrates paying using Mastercard QR at the launch of #BombaWeekends a joint campaign between Puma Energy, Selcom Paytech LTD and Mastercard that looks to reward patrons with up to 5% cash-back when they fuel at Puma's 52 filling stations and pay using Mastercard QR. Looking on is Selcom Executive Director, Mr. Sameer Hirji (second left) and Puma Tanzania Managing Director, Mr. Dominic Dhana.
Dar es Salaam, Tanzania: Puma Energy, Selcom and Mastercard in continued collaboration have launched a joint campaign themed on “Bomba Weekends”, that looks to reward consumers with up to 5% cash-back when they fill up at Puma Energy stations and pay via Mastercard QR.

The campaign will run for 11 weeks, every Friday through Sunday from 4-6pm rewarding customers who choose to go cashless across Puma’s countrywide network of 52 filling stations. Besides the consumer reward objective, the campaign looks to bolster the government’s efforts in formalising payments and transforming the country’s cash driven economy to a cashless economy while supporting Tanzania’s financial inclusion objectives.

BARCLAYS BANK CONTINUES TO INVEST IN TANZANIA’S KEY GROWTH SECTORS AS THE BANK TRANSITIONS INTO ABSA

Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed addresses participants during the bank’s Corporate Clients Economic Forum held in Dar es Salaam recently.
Barclays Bank Tanzania (BBT) Board Chairman, Simon Mponji (left), shakes hands with Absa Group Deputy Chief Executive Officer, Peter Matlare, as the bank’s Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed looks on, during the Barclay’s corporate clients economic forum held in Dar es Salaam recently.
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (right), chats with Barclays Kenya Head of Corporate & Investment Banking, James Agin (left), while Engen Petroleum (T) Ltd Chief Executive Officer, Paul Muhato looks on, during Barclays’s corporate clients economic forum held in Dar es Salaam recently.
Absa Group Deputy Chief Executive Officer, Peter Matlare (left), greets Chief Executive Officer of UAP Old Mutual Insurance Tanzania Limited Stephen Lokonyo, during Barclays Bank Tanzania’s corporate clients economic forum held in Dar es Salaam recently. Looking on is BBT Corporate Banking Director, Brian Kalero.
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left), chats with corporate executives during the bank’s corporate clients economic forum held in Dar es Salaam recently. Engrossed in the conversation from his left is BBT Corporate Banking Director, Brian Kalero, Chief Executive Officer of Kagera Sugar Limited, Ashwin Rana and Barclays Kenya Head of Corporate & Investment Banking, James Agin.
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left), talks to Barclays Kenya Head of Corporate & Investment Banking, James Agin (right) and Kagera Sugar Chief Executive Officer, Ashwin Rana, during Barclays corporate clients economic forum held in Dar es Salaam recently.
October 23rd, 2019 Dar es Salaam, Tanzania - Barclays Bank Tanzania Limited (BBT) was joined by Senior Executives, Mr. Peter Matlare, the Absa Group Deputy Chief Executive Officer and Mr. Saviour Chibiya, the Regional Managing Director for the Absa Africa Operations on Wednesday, 23rd October at Serena Hotel in Dar es Salaam, to host some of its customers to a cocktail event.

The event was not only a platform to appreciate the continued support of its customers but was also used to provide an opportunity for clients to join BBT in its transition journey and be informed of the expected milestones as the Bank prepares to rebrand into Absa.

10 HABITS OF WEAK, UNSUCCESSFUL PEOPLE TO AVOID

Success is not as easy as copying others.
  • Success isn't about copying other people's habits, or following one prescriptive path. The surest way to find success is to avoid being unsuccessful.
  • Unsuccessful people aren't able to focus on the present, instead constantly distracted by what's to come or what's already happened.
  • They only listen to themselves, and don't take the opportunity to learn or try new things.
Do you really think you'll be successful if you simply copy other people's habits? If that was the case, success would be easy.

I never met a successful person until I was 24. I grew up in a working-class family — I was more around people who were the opposite.

The first successful person I met was an entrepreneur in his 40s. When I started my first real business, he was one of my first clients. When I met him, he was slightly overweight, had more money than he could count, and was merry all the time.

But he also lost his wife, the love of his life, a half decade before. We became friends. He told me that he never got over it. Even though he experienced tragedy, he still had a positive outlook on life and did good things.

He truly cared about others. I have to be honest, my first business wasn't great, but he still gave me a chance to do business with him. He always said: "I just try to avoid being unsuccessful." That's the number one thing I learned from him. He said that you should study what makes you unsuccessful, unhappy, broke, fat, stupid. Then, eliminate those things out of your life.

TIGO TANZANIA - ZANTEL MERGER SET TO IMPROVE TANZANIA’S TELECOMMUNICATION SECTOR


By Ben Ndunguru, UDSM

The telecommunications sector in Tanzania has grown considerably in the last decade.

During this time, networks have expanded and mobile connectivity has become an everyday service for many Tanzanians, accessible to the majority rather than just the privileged few. This progress continues today as companies innovate and bring new products and offerings to their customers.

As a result, these companies have gone beyond providing us with a way of communicating with family and friends and have revolutionised the we save money, pay our bills and carry out our daily lives.

A good example is that of Tigo Tanzania. Tigo’s mobile-money service, Tigo Pesa, allows customers to send and receive money, without needing to travel and queue at their bank. Similarly, shop owners can apply to become a Tigo Pesa Merchant, allowing them to accept payments from over 16 million mobile money users across Tanzania.

WATEJA WA TIGO KUJIPATIA FEDHA PAPO HAPO BAADA YA KULIPIA KWA TIGO PESA MATSERCARD QR

Kaimu Afisa Mkuu - Tigo Pesa, Angelica Pesha akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Tigo Pesa Mastercard QR, Jijini Dar Es salaam.
Kaimu Afisa Mkuu - Tigo Pesa, Angelica Pesha akionesha kwa waandishi wa habari jinsi ya kulipia kwa Tigo Pesa Mastercard QR, katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Tigo Pesa Mastercard QR.
Kaimu Afisa Mkuu - Tigo Pesa, Angelica Pesha (katikati), akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi huo. Kulia kwake ni Mkurugenzi na Meneja wa Mastercard Afrika Mashariki, Frank Molla. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Malipo, Mshana Mshana.
Kaimu Afisa Mkuu - Tigo Pesa, Angelica Pesha (katikati), akimuonyesha Mkurugenzi na Meneja wa Mastercard Afrika Mashariki, Frank Molla (kushoto) jinsi ya kulipia kwa Tigo Pesa Mastercard QR. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Malipo, Mshana Mshana.
Mkurungezi Mtendaji wa Tigo Simon Karikari akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na Mastercard mara baada ya hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Tigo Pesa Mastercard QR, jijini Dar Es salaam.
Wateja wanaweza kujipatia fedha papo hapo baada ya kulipia kwa Tigo Pesa Matsercard QR.

Dar es Salaam. Oktoba 29, 2019
- Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo kwa kushirikiana na Mastercard wamezindua kampeni kwaajili ya kuwazawadia wateja wanaofanya malipo kwa njia ya Tigo Pesa Mastercard QR katika maduka na maeneo yanayoruhusu kulipa kwa Mastercard QR.

Kampeni hiyo imelenga katika kuhakikisha wateja wanapata huduma rahisi na ya uhakika nchi nzima.

Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi, Kaimu Mkuu wa huduma za fedha (MFS), Angelica Pesha alisema “Kama kampuni ya kidigitali siku zote tunalenga kuleta sulushisho na kufanya maisha ya wateja wetu kuwa rahisi zaidi. Kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa njia mpya na salama ya malipo kwa wateja pale wanapotaka huduma na bidhaa kwenye maduka na maeneo mengine ya kibiashara yanayoruhusu mfumo wa Mastercard QR.”

VODACOM TANZANIA PLC NA MFUKO WA UBUNIFU WA HDIF WATEMBELEA HUBS MBALIMBALI KUJIONEA MAMBO MAKUBWA YANAYOFANYWA NA VIJANA NCHINI

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Hisham Hendi (wa tatu kutoka kulia) wakimsikiliza Adam Mbyallu wa Sahara Ventures walipotembelea Hubs za Sahara Ventures, DTBI, Jenga Hub na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo iliandaliwa na mfuko wa ubunifu (HDIF) unaojishughulisha na kukuza ubunifu na kusaidia wabunifu nchini (Innovation ecosystem).
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akichangia mada wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipofanya ziara ya kujifunza katika ofisi mbalimbali za uvumbuzi (innovation hubs) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Adam Mbyallu wa Sahara Ventures. Ziara hiyo iliandaliwa na mfuko wa ubunifu (HDIF) unaojishughulisha na kukuza ubunifu na kusaidia wabunifu nchini (Innovation ecosystem). 
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakimsikiliza Iddy John wa atamizi ya DTBI wakati akifafanua juu ya uvumbuzi wa Teknolojia unaoweza kuwaunganisha wafanyabiashara kwa pamoja wakati wafanyakazi wa vodacom walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. 
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Hisham Hendi (wa pili kushoto) wakimsikiliza Andrew Tesha wa atamizi ya DTBI wakati akifafanua juu ya uvumbuzi wa Teknolojia inayoweza kuwaunganisha wafanyabiashara kwa pamoja wakati wafanyakazi wa vodacom walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. 
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia (kulia aliye kaa) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Jenga Hub, Nancy Sumari (kushoto) wakati alipokuwa akifafanua jinsi walivyofanya uvumbuzi wa kuwafundisha watoto wa shule kwa kutumia Teknolojia (Innovation).
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia (wa pili kulia aliyekaa) wakimsikiliza meneja wa Hub ya Jenga Lupyana Mbembati wakati alipokuwa akielezea namna wanavyotumia Teknolojia kuwafundisha watoto wa shule wakati wafanyakazi hao walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Seedspace, Innocent Mallya akifafanua juu ya uvumbuzi wa Teknolojia inayowaunganisha wafanyabaishara (Innovation ecosystem in Tanzania) kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakati walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam.

Monday, 28 October 2019

BENKI YA DCB YADHAMINI TUZO ZA UBORA WA ELIMU TANZANIA

Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Suleiman Jaffo, akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika hafla ya kutoa Tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Tamisemi, Godfrey Mweli.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa, Joseph Kandege (kulia), akishiakana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa baara ya kupokea cheti cha shukurani kutoka kwa Waziri wa Tamisemi, kutoka na udhamini wa benki hiyo katika hafla ya kutoa tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki.
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fredrick Mwakitwange (kushoto), akimfahamisha Angel Lomwai kuhusu faida ya akaunti maalumu ya mpango wa elimu ya ‘DCB Skonga’ iliyozinduliwa na benki hiyo hivi karibuni wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki.
Ofisa Mahusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Dalila Issa (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu akaunti maalumu ya masuala ya elimu ya DCB Skonga iliyozinduliwa na benki hiyo hivi karibuni wakati hafla ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki.
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria hafla ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki ambayo DCB iliidhamini.
Baadhi ya wahudhuriaji katika hafla ya utoaji tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwisho mwa wiki ambayo DCB iliidhamini wakifuatilia matukio mbalimbali ya utoaji tuzo hizo.
Benki ya Biashara ya DCB itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuleta maendeleo ya elimu nchini huku ikileta bidhaa na huduma maalumu za kielimu zinazolenga kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata elimu bora kwa mustakabali wa maendeleo yao binafsi na kwa taifa.

Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa waliofanya vizuri katika mitihani ya taifa mwaka 2019 jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ambazo DCB ilidhamini, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa alisema DCB inatambua juhudi kubwa inayofanywa na Rais John Joseph Pombe Magufuli katika kuboresha na kuinua kiwango cha elimu nchini, juhudi zilizoanza kujionyesha mwanzo kabisa pale alipoondoa ada za shule kuanzia elimu ya msingi hadi Sekondari.

PANAFRICAN ENERGY TANZANIA LIMITED YASAINI MAKUBALIANO NA SHIRIKA LA TUMAINI LA MAISHA KUSAIDIA WATOTO WENYE SARATANI LINDI

Mkurugenzi Mtendaji wa PAET, Andy J Hanna (kulia) na Mwenyekiti wa bodi ya TLM Gerald Mongella (kushoto) wakisaini mkataba wa makubaliano kusaidia watoto wenye saratani mkoani Lindi.
Kampuni ya uzalishaji gesi ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Shirika la kuhudumia watoto wenye saratani la Tumaini la Maisha (TLM) kwaajili ya kusaidia utoaji wa huduma za matibabu kwa watoto wenye saratani katika Hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi.

Makubaliano hayo yalisainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa PAET, Andy Hanna na Mwenyekiti wa bodi ya TLM, Gerald Mongella ambapo pande zote mbili zilieleza kuwa na imani na hatua hiyo ambayo ni mwanzo katika kufikisha huduma hiyo katika maeneo mengine ya nchi.

WATEJA WA BENKI YA NMB WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA BENKI HIYO

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kushoto) akizungumza na wateja hao walipotembelea Makao Makuu ya NMB kujionea shughuli mbalimbali za kibenki zinazofanyika hapo.
Mkuu wa Huduma Jumuifu, Nenyuata Mejooli (kulia) akizungumza na wateja.
Afisa Mkuu Uendelezaji wa Bidhaa na Matumizi ya Digitali NMB, Pete Novat (kulia) akizungumza na wateja. 
Mkuu wa Biashara Wateja Wadogo na wa Kati wa NMB, Filbert Mponzi katika picha ya pamoja na wateja walipotembelea Makao Makuu ya NMB.
Wafanyabishara wadogo wameziomba taasisi za fedha kuwawezesha ili waanzishe viwanda na kupunguza safari za China kufuata bidhaa ambazo zingeweza kuzalishwa nchini.

Hayo yameelezwa na wajasiria mali 10 waliohudhuria kongamano la biashara nchini China chini ya ufadhili wa benki ya NMB.

Wajasiriamali hao wameeleza kuwa katika ziara hiyo wamebaini China ina viwanda vidogo vidogo vingi ambavyo ndivyo vinazalisha bidhaa wanazotumia gharama kubwa kuzifuata au kuagiza.

MORTGAGE MARKET DEVELOPMENT IN TANZANIA

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WACHANGIA DAMU KWA WAGONJWA 240 WENYE UHITAJI OCEAN ROAD

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam Badru Idd (wa pili kulia) akiwaongoza wenzake kuchangia damu katika Hospitali ya Ocean Road.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakichangia damu katika Hospitali ya Ocean Road.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakichangia damu katika Hospitali ya Ocean Road.
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inakabiliwa na uhaba wa damu hali inayosababisha wakati mwingine huduma kushindwa kutolewa kwa ufanisi.

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba wa Ocean Road, Dk. Mark Mseti, amesema kwa siku za hivi karibuni hospitali hiyo imekuwa ikikabiliwa na uhaba mkubwa wa damu hali inayokwamisha utoaji huduma kwa wahitaji.

Mseti alisema mahitaji ya damu katika hospitali hiyo ni makubwa kutokana na tiba zote za mionzi kuhitaji wagonjwa kuwa na damu ya kutosha ili ziweze kufanya kazi sawasawa.

VODACOM TANZANIA PLC YAWAFIKISHIA HUDUMA KARIBU WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa akikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom lililoko jengo la Muzamill Centre, Mjini Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George Venanty na Saleh Omar Alsheikh.
Kaimu Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani, George Venanty akielezea huduma zinazotolkewa na duka hilo kwa Mkurugenzi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa kabla ya kukata keki ya uzinduzi.
Wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom lililoko jengo la Muzamil Centre, Mlandege mjini Zanzibar wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Keki inayoashiria uwepo wa mtandao wenye kasi ya 4G kutoka kampuni inayoongoza kwa mapinduzi ya kidijitali ya Vodacom Tanzania Plc mjini Zanzibar.

Thursday, 24 October 2019

VODACOM WINS DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE AWARD

Deputy Minister for Finance and Planning, Dr. Ashatu Kijaji (second right) presents the 2019 DSE Award for Best Listed Company of the Year, Non-Manufacturing Sector to Vodacom Tanzania Plc Head of Investor Relations and Special Projects, Robin Kimambo. Left is Dar es Salaam Stock Exchange Chief Executive Officer, Moremi Marwa and his counterpart Capital Markets and Securities Authority CEO, Nicodemus Mkama.
Tanzania’s leading technology Communication Company, Vodacom Plc has won the prestigious Dar es Salaam Stock Exchange Member Award (DMA).

The fourth awarding ceremony with a theme of ‘Environmental, Social and Governance for Sustainability’ was held in Dar es Salaam earlier this week. The guest of honour at the event was the Deputy Minister for Finance and Planning, Dr. Ashatu Kijaji.

TANZANIA’S FIRST REAL CREDIT SCORES LAUNCHED IN DAR

Chief Executive Officer of Dun & Bradstreet Credit Bureau, Miguel Llenas explains the benefits of credit reports during the launch of credit scores in Tanzania.
General Manager of Dun & Bradstreet Credit Bureau, Adebowale Atobatele gives a vote of thanks to Bank of Tanzania and the company’s subscribers for their continued support to the growth of Tanzania’s financial sector.
Bank of Tanzania's Director of the Financial Sector Supervision, Jerry Sabi addresses the participants during the launch of credit scores by Dun & Bradstreet Credit Bureau in Tanzania.
Tanzania’s leading Credit Reference Bureau, Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited has launched Tanzania’s first real predictive credit score in Tanzania.

The Score is a proprietary risk management solution that is bespoke to Tanzania's consumer credit market.

According to the Chief Executive Officer of D&B Credit Bureau, Mr. Miguel Llenas said the score is launched to help address the challenges faced by all stakeholders in Tanzania’s credit market.

He said it will aid responsible lending and borrowing, help lenders and creditors manage their loan books, ensure that interest rates match the credit profile of borrowers and promote the proliferation of credit or loan products in the market.